Ecclesiastes 7:8-9


8 aMwisho wa jambo ni bora kuliko mwanzo wake,
uvumilivu ni bora kuliko kiburi.
9 bUsiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako,
kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
Copyright information for SwhNEN